Ufafanuzi wa uwatu katika Kiswahili

uwatu

nomino

  • 1

    mmea ambao matunda yake yanafanana na dengu, hutumiwa kama dawa ya tumbo, agh. la mwanamke.

Matamshi

uwatu

/uwatu/