Ufafanuzi wa uwazi katika Kiswahili

uwazi

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na kitu ndani.

    utupu, nususi

Matamshi

uwazi

/uwazi/