Ufafanuzi wa uwiano katika Kiswahili

uwiano

nomino

  • 1

    hali ya kuwa sawa.

    ulingano, ulinganifu

Matamshi

uwiano

/uwijanÉ”/