Ufafanuzi wa uya katika Kiswahili

uya

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    rudi toka pahali fulani.

    methali ‘Mchama ago hanyeli huenda akauya papo’

Matamshi

uya

/uja/