Ufafanuzi wa uzamili katika Kiswahili

uzamili

nomino

  • 1

    masomo ya shahada ya pili apatayo mtu baada ya kufuzu shahada ya kwanza.

Matamshi

uzamili

/uzamili/