Ufafanuzi wa uzembe katika Kiswahili

uzembe

nominoPlural uzembe

  • 1

    hali ya kufanya jambo bila ya makini.

    ulegevu, ugoigoi

Matamshi

uzembe

/uzɛmbɛ/