Ufafanuzi wa uzio katika Kiswahili

uzio

nominoPlural nyuzio

  • 1

    boma la miti la kuzuia samaki ili wakamatwe maji yanapokupwa.

    tando, vyero

  • 2

    boma k.v. la miti, mbao, matofali au mabati linalozunguka shamba, nyumba, n.k..

    ua

Matamshi

uzio

/uziɔ/