Ufafanuzi wa uzohali katika Kiswahili

uzohali

nominoPlural uzohali

  • 1

    hali ya uzito wa kufanya mambo; hali ya kuchelewa.

    usiri

Matamshi

uzohali

/uzɔhali/