Ufafanuzi wa uzuiaji katika Kiswahili

uzuiaji

nomino

  • 1

    hali ya kuzuia kitu au jambo fulani lisiendelee.

Matamshi

uzuiaji

/uzuwijaŹ„i/