Ufafanuzi wa uzuka katika Kiswahili

uzuka

nominoPlural uzuka

  • 1

    muda wa eda anaokaa mfiwa au kizuka.

Matamshi

uzuka

/uzuka/