Ufafanuzi wa Uzunguni katika Kiswahili

Uzunguni

nomino

  • 1

    eneo la makazi lililokuwa linakaliwa na wazungu kabla ya uhuru.

Matamshi

Uzunguni

/uzunguni/