Ufafanuzi wa uzururaji katika Kiswahili

uzururaji

nominoPlural uzururaji

  • 1

    tabia ya mtu ya kwenda huko na huko bila lengo maalumu.

Matamshi

uzururaji

/uzururaʄi/