Ufafanuzi wa uzushi katika Kiswahili

uzushi

nominoPlural uzushi

  • 1

    hali ya kuzua mambo.

  • 2

    maneno yasiyo ya kweli.

Matamshi

uzushi

/uzu∫i/