Ufafanuzi wa uzuzu katika Kiswahili

uzuzu

nomino

  • 1

    hali ya kukosa uzoefu wa kitu au kazi fulani; ugeni wa jambo fulani.

  • 2

    hali ya kuwa zuzu.

Matamshi

uzuzu

/uzuzu/