Ufafanuzi wa vanga katika Kiswahili

vanga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda huku na huku bila ya kutulia; enda ovyo.

    hangaika

Matamshi

vanga

/vanga/