Ufafanuzi wa veli katika Kiswahili

veli

nominoPlural maveli

  • 1

    vazi jeupe la kanzu pamoja na ushungi linalovaliwa na bibi harusi siku ya sherehe ya harusi.

Asili

Kng

Matamshi

veli

/vɛli/