Ufafanuzi wa vimbisha katika Kiswahili

vimbisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kivimbe.

    futua, tunisha

Matamshi

vimbisha

/vimbi∫a/