Ufafanuzi msingi wa vinginya katika Kiswahili

: vinginya1vinginya2

vinginya1

kitenzi elekezi

  • 1

    piga mapindi k.v. afanyavyo nyoka anapouawa.

Matamshi

vinginya

/vingiɲa/

Ufafanuzi msingi wa vinginya katika Kiswahili

: vinginya1vinginya2

vinginya2

kitenzi elekezi

  • 1

    chezesha matako au kiuno wakati wa kucheza ngoma au kwenda.

Matamshi

vinginya

/vingiɲa/