Ufafanuzi wa vingirisha katika Kiswahili

vingirisha

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda kwa kuzunguka k.v. gurudumu.

    bingirika, fingirika

Matamshi

vingirisha

/vingiri∫a/