Ufafanuzi wa viru katika Kiswahili

viru

nomino

  • 1

    tunda la jamii ya tomoko lakini lenye ganda gumu na linalogawanyika kwa vipande.

Matamshi

viru

/viru/