Ufafanuzi wa vivizia katika Kiswahili

vivizia

kitenzi elekezi~wa

  • 1

    toa pumzi pamoja na mate kidogo sana k.v. wafanyavyo waganga wa kienyeji wakati wa kutabana.

Matamshi

vivizia

/vivizija/