Ufafanuzi msingi wa viza katika Kiswahili

: viza1viza2

viza1

kivumishi

  • 1

    -tokamilika ukuaji wa kifaranga katika yai; -siokomaa; yai bovu.

    ‘Hili ni yai viza , usilichukue’

Matamshi

viza

/viza/

Ufafanuzi msingi wa viza katika Kiswahili

: viza1viza2

viza2

nominoPlural viza

  • 1

    hati maalumu inayomruhusu mtu aliye raia wa nchi nyingine kuingia katika nchi ya kigeni.

    ‘Nimepata viza ya miezi mitatu’

Asili

Kng

Matamshi

viza

/viza/