Ufafanuzi wa vogomea katika Kiswahili

vogomea

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda mbali sana; potea kabisa.

    tokomea

Matamshi

vogomea

/vɔgɔmɛja/