Ufafanuzi wa vongea katika Kiswahili

vongea

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha

  • 1

    kula ovyoovyo kwa haraka na kwa kujaza kinywa.

Matamshi

vongea

/vɔngɛja/