Ufafanuzi msingi wa vua katika Kiswahili

: vua1vua2vua3

vua1

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana, ~ka

 • 1

  ondoa mwilini kitu kilichovaliwa.

Ufafanuzi msingi wa vua katika Kiswahili

: vua1vua2vua3

vua2

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana, ~ka

 • 1

  epusha kitu au jambo; toa katika matatizo.

  nusuru, okoa, ponya

Ufafanuzi msingi wa vua katika Kiswahili

: vua1vua2vua3

vua3

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~ana, ~ka

 • 1

  toa samaki baharini, ziwani au bwawani kwa kutumia nyavu, ndoana, n.k..

  ‘Leo nitakwenda kuvua samaki’
  loa

Matamshi

vua

/vuwa/