Ufafanuzi wa vuaza katika Kiswahili

vuaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya mtai au alama kwa kukata kwa kitu chenye makali k.v. kisu au wembe.

  • 2

    choma moyoni; umiza moyoni.

    ‘Maneno yako yamenivuaza’

Matamshi

vuaza

/vuwaza/