Ufafanuzi wa vuja katika Kiswahili

vuja

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  pita kwa kitu mahali penye upenyo, ufa au tundu.

  ‘Debe hili linavuja’
  ‘Gunia hili linavuja kwa sababu limepasuka’
  ‘Paa la nyumba linavuja’
  methali ‘Kuvuja kwa pakacha, nafuu kwa mchukuzi’

Matamshi

vuja

/vuja/