Ufafanuzi msingi wa vuma katika Kiswahili

: vuma1vuma2vuma3

vuma1

kitenzi sielekezi

 • 1

  zomea

 • 2

  toa sauti nzito k.v. ya simba, upepo mkali, ngoma, nyuki au maji mengi yanapomiminika.

  nguruma

Matamshi

vuma

/vuma/

Ufafanuzi msingi wa vuma katika Kiswahili

: vuma1vuma2vuma3

vuma2

kitenzi sielekezi

 • 1

  zungumziwa au julikana na watu wengi.

  ‘Habari hizi zimevuma mji mzima’

Matamshi

vuma

/vuma/

Ufafanuzi msingi wa vuma katika Kiswahili

: vuma1vuma2vuma3

vuma3

kitenzi sielekezi

 • 1

  enda kwa kupita haraka k.v. upepo ufanyavyo.

Matamshi

vuma

/vuma/