Ufafanuzi wa vumba katika Kiswahili

vumba

nominoPlural vumba

  • 1

    harufu ya samaki baada ya kutolewa kwenye maji.

    shombo

Matamshi

vumba

/vumba/