Ufafanuzi wa vumbi katika Kiswahili

vumbi

nominoPlural mavumbi

  • 1

    kitu kama unga kitokanacho na msagiko wa k.m. mchanga, udongo, mawe au mbao.

    ghubari, kauta

Matamshi

vumbi

/vumbi/