Ufafanuzi wa vumbua katika Kiswahili

vumbua

kitenzi elekezi

  • 1

    anzisha kitu kwa mara ya kwanza kabla ya mtu mwingine yeyote.

    buni

  • 2

    ona kilichokuwa kimejificha.

    gundua

Matamshi

vumbua

/vumbuwa/