Ufafanuzi wa vumi katika Kiswahili

vumi

nomino

  • 1

    ngoma kubwa inayowambwa upande mmoja.

Matamshi

vumi

/vumi/