Ufafanuzi msingi wa vunda katika Kiswahili

: vunda1vunda2vunda3

vunda1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa katika hali ya kuchachuka hadi kufikia kiasi cha kutoa ukungu.

Ufafanuzi msingi wa vunda katika Kiswahili

: vunda1vunda2vunda3

vunda2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  toa harufu mbaya ya kuoza.

  methali ‘La kuvunda halina ubani’
  oza

Ufafanuzi msingi wa vunda katika Kiswahili

: vunda1vunda2vunda3

vunda3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  ‘Mali ilivunda nguu na milima ikalala’
  methali ‘Cha kuvunda hakina rubani’

Matamshi

vunda

/vunda/