Ufafanuzi wa vunja pesa katika Kiswahili

vunja pesa

msemo

  • 1

    badilisha fedha yenye thamani kubwa ili kupata fedha ndogondogo k.v. noti ili kupata sarafu.