Ufafanuzi wa vunja rekodi katika Kiswahili

vunja rekodi

msemo

  • 1

    pita rekodi iliyokuwa imewekwa awali.

Ufafanuzi wa Vunja rekodi katika Kiswahili

Vunja rekodi

msemo

  • 1

    tia fora; vuka mpaka.