Ufafanuzi wa Vunja ungo katika Kiswahili

Vunja ungo

nahau

  • 1

    baleghe, hasa kwa wasichana.

Ufafanuzi wa vunja ungo katika Kiswahili

vunja ungo

nahau

  • 1

    pata hedhi kwa mara ya kwanza.