Ufafanuzi wa vunjanga katika Kiswahili

vunjanga

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa

  • 1

    fanya jambo au nenda ovyoovyo bila ya kujua.

Matamshi

vunjanga

/vunʄanga/