Ufafanuzi wa vunjifu katika Kiswahili

vunjifu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kuharibu mambo ya mtu mwingine; -enye tabia ya kuvuruga mambo.

Matamshi

vunjifu

/vunʄifu/