Ufafanuzi wa vunju katika Kiswahili

vunju

nominoPlural mavunju

  • 1

    vumbi linalopatikana katika maji baada ya kutibuliwa.

    ‘Maji haya yana vunju’

Matamshi

vunju

/vunʄu/