Ufafanuzi wa vuo katika Kiswahili

vuo

nomino

  • 1

    dawa ya mvuke itengenezwayo kwa mizizi na majani yaliyochemshwa na halafu hufukizwa mgonjwa.

Matamshi

vuo

/vuwɔ/