Ufafanuzi wa vurumiza katika Kiswahili

vurumiza, vurumisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tupa kitu k.v. jiwe au gongo kwa nguvu.

    ngurumisha, vungumiza

Matamshi

vurumiza

/vurumiza/