Ufafanuzi msingi wa vuta katika Kiswahili

: vuta1vuta2vuta3

vuta1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  peleka au buruta kitu kwa kutumia k.v. mkono, kamba au sumaku, kutoka mahali pamoja hadi pengine.

Matamshi

vuta

/vuta/

Ufafanuzi msingi wa vuta katika Kiswahili

: vuta1vuta2vuta3

vuta2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  peleka kitu k.v. hewa au pumzi kwa kutumia kitu kingine k.v. mdomo, kutoka mahali pamoja hadi pengine.

Matamshi

vuta

/vuta/

Ufafanuzi msingi wa vuta katika Kiswahili

: vuta1vuta2vuta3

vuta3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  fanya watu wakubaliane na linalosemwa au linalotendwa.

  shawishi

Matamshi

vuta

/vuta/