Ufafanuzi wa VVU katika Kiswahili

VVU

nominoPlural VVU

  • 1

    kifupisho cha Virusi Vya UKIMWI; virusi vinavyosababisha mwili kupoteza uwezo wake wa kinga hivyo kuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa mbalimbali.

Matamshi

VVU

/vavau/