Ufafanuzi wa vyaa katika Kiswahili

vyaa

kitenzi elekezi

  • 1

    kopoa baada ya mimba kukomaa.

Matamshi

vyaa

/vja:/