Ufafanuzi wa waadhi katika Kiswahili

waadhi

nominoPlural nyaadhi

  • 1

    hotuba ya maelezo ya nasaha njema agh. ya kidini, kwa watu.

    mawaidha

Asili

Kar

Matamshi

waadhi

/wa:ði/