Ufafanuzi wa wabaadu katika Kiswahili

wabaadu

kiunganishi

  • 1

    (agh. hutumika katika kuandika barua) na baada ya haya.

    ‘Salamu nyingi, wabaadu nakuarifu kuwa hali yangu sasa ni njema’

Asili

Kar

Matamshi

wabaadu

/waba:du/