Ufafanuzi wa wadeni katika Kiswahili

wadeni

nominoPlural mawadeni

  • 1

    mtu mwenye dhamana ya kusimamia makazi k.v. hosteli au mbuga za wanyama.

Asili

Kng

Matamshi

wadeni

/wadɛni/