Ufafanuzi wa wadhifa katika Kiswahili

wadhifa

nomino

  • 1

    cheo ambacho mtu anakuwa nacho kazini.

    ‘Sasa amepata wadhifa mzuri’
    madaraka, dhima

Asili

Kar

Matamshi

wadhifa

/waĆ°ifa/