Ufafanuzi wa wadhiha katika Kiswahili

wadhiha

kielezi

  • 1

    bila ya kificho.

    ‘Anajifanyia mambo ya aibu wadhiha’
    dhahiri, wazi

Asili

Kar

Matamshi

wadhiha

/waðiha/