Ufafanuzi wa wage katika Kiswahili

wage

nominoPlural wage

  • 1

    vinywele vidogovidogo vilivyoko kwenye mimea na vikigusana na ngozi huwasha.

    upupu, wambe

Matamshi

wage

/wagɛ/